RHULANI MOKWENA ANAKIWASHA HUKO MC ALGER
Ikiwa watafuzu leo itakuwa ni mara ya 4 wanafuzu hatua ya makundi kwenye historia ya mashindano ya CAF Champions League na mara ya pili mfululizo wanafanya hivo.
MC Alger inayonolewa na mkufunzi Rhulani Mokwena walitoka sare ya 1-1 dhidi ya Colombe ya Cameroon kwenye mechi ya mkondo wa kwanza. Ikiwa watafuzu leo itakuwa ni mara ya 4 wanafuzu hatua ya makundi kwenye historia ya mashindano ya CAF Champions League na mara ya pili mfululizo wanafanya hivo.
Rulani Mokwena anamiini kuwa MC Alger bado wana nafasi ya kufanya vyema licha ya kutopoteza mchuano wowote kutoka ajiunge nao. Kwenye mechi nane ambazo amewanoa, wameshinda mechi 5 na kutoka sare mechi 3.
"Nawapongeza wachezaji wangu kwa matokeo bora na bado tuna nafasi ya kufanya bora kwenye michuano ijayo. Ningependa pia kuweka wazi kwa wachezaji wangu kuwa asiye na bidii hatapata nafasi kwenye kikosi changu." - aliwaelezea Foot Algeriedz.
Timu zingine ambazo zimefuzu hatua ya makundi ya CAF Champions League ni
Je, Una Hisia Gani?
Penda
0
Sipendi
0
Penda
0
Ya Kufurahisha
0
Mwenye hasira
0
Huzuni
0
Lo!
0